KWA sasa tasnia ya Bongo Movie imetawaliwa na tamthilia. Kila kukicha zinaibuka tamthilia mbalimbali zinazoteka hisia za mashabiki kutokana na kufuatiliwa kwa wingi na kuwafanya watayarishaji kuumiza ...