Chama tawala nchini Tanzania cha CCM leo Jumamosi kinafanya mkutano wake mkuu maalumu ambao pamoja na mambo mengine utamchagua makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tanzania Bara. Chama tawala nchini ...
Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa chama tawala nchini Tanzania CCM wamempitisha mwanasiasa mkongwe Stephen Masato Wasira, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Tanzania kuwa Makamu ...
SINGIDA; KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa (CCM)Taifa, Kenani Kihongozi amemuagiza Mkuu Wilaya ya Manyoni, Vincent ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya habari ...
KATIBU wa Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Mosses Machali kumtafuta mtuhumiwa anayedaiwa kumtorosha mwanafunzi wa ki ...