Rais wa Tanzania amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa mwezi Oktoba uliopingwa kuhusu kuzimwa kwa mtandao wa ...
Rais Samia akemea vikali vitendo vya uvunjifu wa sheria vilivyotokea wakati wa Uchunguzi Mkuu. Na Waandishi wa BBC Ni siku ya tano sasa tangu huduma za intaneti nchini Tanzania zikatwe, hatua ...
Ripoti mpya kuhusu machafuko ya wakati wa uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania imesema vikosi vya usalama viliwafyatulia risasi waandamanaji waliokuwa wakikimbia na kufanya "mauaji ya kiholela." ...
“Kwa niaba ya Serikali ya Kenya, nawapongeza kwa dhati Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi wote wa Tanzania kwa kufanikisha uchaguzi huu kwa njia ya kidemokrasia. Ushirikiano wetu utaendelea ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, siku ya Jumapili kimefutilia mbali ushindi mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi uliosababisha maandamano makubwa kote nchini kutokana ...
MOROCCO; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ...
WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba leo Januari 24, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ...
Rais William Ruto na mwenzake wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, wameahidi kushirikiana kuimarisha urafiki kati ya Kenya na Tanzania, kukiwamo kuondoa vikwazo vya kibiashara kwenye mipaka ya mataifa ...