Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos na mchumba wake Lauren Sánchez wanatarajiwa kufunga ndoa wiki hii katika sherehe ya kifahari ya siku tatu nchini Italia. Harusi hiyo itakayogharimu mamilioni ya pesa ...
Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...